INEC Walioitwa kwenye Usaili Itigi District Council

r

Afisa Mwandikishaji Jimbo la Manyoni Magharibi anapenda kuwajulisha, wafuatao

wameitwa kwenye usaili wa Nafasi za Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya BVR KIT (OPERATOR) katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura utakaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Itigi kuanzia tarehe 04/09/2024 hadi 06/09/2024 kama inavyoonekana hapa chini.

KUNDI A:
Kata za: Itigi Mjini, Itigi Majengo,Tambukareli, Sanjaranda, Kitaraka, Ipande, Aghondi
na Idodyandole Waombaji kutoka Kata tajwa hapo juu wanatikiwa kufika tarehe 04/09/2024 saa 2:00 Asubuhi katika ukumbi wa Shule ya Itigi Sekondari kwa ajili ya Usaili

KUNDI B:
Rungwa, Mwamagembe, Kalangali, Mitundu na Mgandu Waombaji kutoka Kata tajwa hapo juu wanatakiwa kufika tarehe 06/09/2024 saa 2:00
Asubuhi katika ukumbi wa Ofisi ya Kijiji Mitundu kwa ajili ya Usaili.

Kuona Orodha ya Majina tafadhali Donwload PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA