INEC Walioitwa kwenye Usaili Dodoma City Council

INEC Walioitwa kwenye Usaili Dodoma City Council

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Dodoma Mjini anapenda kuwataarifu kuwa, wafuatao wameitwa kwenye usaili wa Nafasi za Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki (BVR KIT OPETATOR) katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utakaofanyika tarehe 06 Septemba, 2024 siku ya Ijumaa kuanzia saa 4:00 asubuhi katika vituo vilivyoanishwa kwa ajili ya usaili.

Waombaji wote Wanatakiwa waje Na:

  • Kitambulisho cha (NIDA, Mpiga Kura, Kazi, Leseni ya Udereva, Nk)
  • Cheti cha Kuzaliwa naV
  • Vyeti vya Taalumu (Academic, Form Iv, Chuo)

Pamoja na tangazo hili orodha ya majina ya waombaji imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

KATA YA CHAHWA 

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA