INEC Walioitwa kwenye Usaili Bahi District Council

INEC Walioitwa kwenye Usaili Bahi District Council

Afisa Mwandikishaji jimbo la Bahi anapenda kuwajulisha kuwa, wafuatao wameitwa kwenye usaili wa nafasi za Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya bayometriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura utakaofanyika kwa siku 2 katika Tarafa za Chipanga, Mwitikira, Mundemu na Bahi kuanzia tarehe 5 - 6 Septemba, 2024.

Usaili utafanyika kwa makundi manne kama ifuatavyo:-

Kundi A1 (Kata za Chipanga, Chali, Chikola, Chifutuka, Mpalanga na Nondwa): Usaili utafanyika tarehe 5/9/2024 katika Kata ya Chipanga Kijiji cha Chipanga A Shule ya Sekondari Chipanga.

Kundi A2 (Kata za Mwitikira, Chibelela, Mtitaa na Ibugule): Usaili utafanyika tarehe 5/9/2024 katika Kata ya Mwitikira Kijiji cha Mwitikira Shule ya Sekondari Mwitikira.

Kundi B1 (Kata za Mundemu, Msisi, Lamaiti, Makanda, Babayu na Zanka): Usaili utafanyika tarehe 6/9/2024 katika Kata ya Mundemu Kijiji cha Mundemu Jengo la Kilimo.

Kundi B2 (Kata za Bahi, Mpamantwa, Ibihwa, Ilindi, Kigwe na Mpinga): Usaili utafanyika tarehe 6/9/2024 katika Kata ya Bahi Kijiji cha Bahi Sokoni Shule ya Sekondari Bahi.

Muda wa usaili ni saa mbili kamili asubuhi (2:00 Asubuhi)

Pamoja na tangazo hili orodha ya majina ya waombaji walioitwa kwenye usaili huo imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA