Karibu Nijuze Habari Blog, chanzo chako kikuu cha habari zote ndani na nje ya nchi.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA ITIGI DISTRICT COUNCIL
Afisa Mwandikishaji Jimbo la Manyoni Magharibi anapenda kuwaalika
wafuatao kuhudhuria mafunzo ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura yatakayofanyika tarehe 22-23.09.2024 katika ukumbi wa Social Hall - Itigi saa 1:30 asubuhi.
Orodha ya majina imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;