INEC WALIOITWA KAZINI BAHI DISTRICT COUNCIL

INEC WALIOITWA KAZINI BAHI DISTRICT COUNCIL

TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA KUJAZA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI KATIKA USAILI ULIOFANYIKA TAREHE 05 NA 06/09/2024

Afisa Mwandikishaji jimbo la Bahi anapenda kuwajulisha kuwa, wafuatao wamechaguliwa kujaza nafasi za kazi za muda za Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya bayometriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura katika usaili uliofanyika katika Tarafa za Chipanga, Mwitikira, Mundemu na Bahi kuanzia tarehe 5 - 6 Septemba, 2024.

Ratiba mtapatiwa kupitia ofisi za kata ya simu na tovuti ya Halmashauri.
mawasiliano.

Pamoja na tangazo hili orodha ya majina ya waliochaguliwa kwenye Mafunzo/Kazini yameambatanishwa kwenye PDF hapa chini;
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA