HESBL MAJINA YA WALIOKOSEA KUJAZA FOMU ZA MIKOPO 2024/2025

HESBL MAJINA YA WALIOKOSEA KUJAZA FOMU ZA MIKOPO 2024/2025
HESBL MAJINA YA WALIOKOSEA KUJAZA FOMU ZA MIKOPO 2024/2025

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawataarifu waombaji wa mikopo ya Wanafunzi kwa mwaka 2024/2025 kuwa baada ya kufanya uhakiki wa maombi yao, imebaini baadhi ya maombi hayo yanahitaji kufanyiwa masahihisho ili kuruhusu kuendelea kwa hatua inayofuata.

Dirisha la kufanya masahihisho limefunguliwa leo Jumapili ya tarehe 15 na litakuwa wazi kwa siku 7 hadi September 21-2024.

Aidha, katika kipindi hiki cha masahihisho maombi mapya hayatapokelewa kwani dirisha la maombi ya mkopo limefungwa rasmi jana tarehe 14 September 2024.

Kuona Majina ya waliokosea kujaza fomu na kufanya masahihisho tafadhali fuata hatua chache hizi hapa chini;

  1. Ingia kwenye akaunti yako uliyoitumia Kuomba mkopo.
  2. Baada ya kuingia kwenye akaunti yako utaona kama unatakiwa kufanya marekebisho au hauhitaji.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA