ERITA UHAKIKI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO KIDIJITALI

ERITA UHAKIKI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO KIDIJITALI
ERITA UHAKIKI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO KIDIJITALI

Waombaji wote wa vyeti vya kuzaliwa wanatakiwa kufuata muongozo ufuatao;

  • Ingia kwenye tovuti ya erita.rita.go.tz/auth
  • Bonyeza REGISTER katika kipengele cha REGISTRATION na jaza taarifa zote kwa usahihi kufungua akaunti ya maombi;
  • (Muhimu: Nenosiri (Password) liwe na herufi zaidi ya nane ikiwa na herufi kubwa, ndogo, namba na alama yoyote mfano (@\#*&) 05.
  • Ingia katika akaunti ya barua pepe "email" fungua ujumbe uliotumiwa kutoka RITA kisha bonyeza neno "Account activation"
  • Baada ya kufungua akaunti, Bonyeza SIGN IN na jaza taarifa sahihi ili kuingia katika mfumo;
  • Chagua BIRTH SERVICES kwa huduma ya Kizazi (DEATH SERVICES) kwa huduma ya kifo);
  • Chagua REQUEST VERIFICATION na jaza taarifa zote kwa usahihi;
  • Chagua VERIFICATION REASON ambapo uchague TAASISI inayohitaji uhakiki mfano: LOANS BOARD, NHIF N.K
  • Ambatanisha Cheti cha Kuzaliwa/kifo kinachohakikiwa;
  • Omba namba ya Malipo kwa kubonyeza "REQUEST CONTROL NUMBER"
  • Fanya malipo sahihi kulingana na Ankara uliyopewa;

Kumbuka: Majibu ya Uhakiki yatatumwa kupitia akaunti uliyofungua.

Muhimu:
- Tunza nywila/ nenosiri la akaunti uliyofungua
- Ambatanisha Kivuli (copy) katika mfumo wa PDF ambacho taarifa zote ikiwa pamoja na namba ya ingizo (entry number) zinasomeka vizuri.

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA