ELIE MPANZU KIBISAWALA KUTUA SIMBA DIRISHA DOGO

Karibu Nijuze Habari Blog, chanzo chako kikuu cha habari zote ndani na nje ya nchi.

Nijuze Habari Blog tumejitolea kukupa habari bora zaidi, tukitilia mkazo habari za Michezo, Ajira, Magazeti, Matokeo, Selection, Interview, Internship pamoja na Makala Mbalimbali.

ELIE MPANZU KIBISAWALA KUTUA SIMBA DIRISHA DOGO
Winga wa DR Congo, Elie Mpanzu Kibisawala anatarajuwa kujiunga na Klabu ya Simba SC katika dirisha dogo la usajili la mwezi December 2024.

Baada ya mvutano wa kimkataba kati yake na Klabu ya AS Vita Club, Mpanzu sasa ni mchezaji huru baada ya kugoma kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia AS Vita Club.

Chanzo cha kuaminika kutoka DR Congo, kimethibitisha kuwa Mpanzu mwenye umri wa miaka 22 atajiunga na Simba katika Dirisha dogo la Usajili mwezi December 2024.

"Mpanzu atakuja huko Tanzania kucheza Simba mwezi Januari. Kulikuwa na shida ya mkataba ndio sababu hakusajiliwa katika dirisha lililopita"

"Lakini kwa sasa ni mchezaji huru, ana makubaliano ya kujiunga na Simba katika dirisha dogo," kilieleza chanzo
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA