DOWNLOAD TENZI ZA ROHONI AUDIO MIX

DOWNLOAD TENZI ZA ROHONI AUDIO MIX


DOWNLOAD TENZI ZA ROHONI AUDIO MIX,
Download Tenzi, Download Mp3 Tenzi, Download Tenzi za rohoni Audio, Download Mp3 Tenzi za rohoni, Download Tenzi za rohoni zote hapa.

TENZI ZA ROHONI: Mkifundishana na kuonyana kwa zaburi na nyimbo, na TENZI ZA ROHONI: huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu ( Wakolosai 316)

Wachapaji wanaziombea nyimbo hizi kwamba zitakapoimbwa ziwe za kumsifu Mungu wetu anayestahili kusifiwa; tena ziwe nuru ya kuonyesha njia ya Yesu Kristo kwa wote watafutao.

Tuimbe sote kwa kuitafakari maana ya maneno , huku tukimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwetu.

Kila wimbo una sababu yake na wakati wake wa kufaa kuimbwa. Kwa hiyo tuzichague nyimbo za kuimba mkutanoni kwa uangalifu wa uongozi wa Mungu.

DOWNLOAD NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX

Download Tenzi, Download Mp3 Tenzi, Download Tenzi za rohoni Audio, Download Mp3 Tenzi za rohoni, Download Tenzi za rohoni zote hapa.

Tenzi za Rohoni Audio,
Tenzi za Rohoni MIX MP3 Download, TENZI ZA ROHONI NYIMBO ZA WOKOVU, Tenzi za rohoni online, Tenzi za rohoni Songs Mix, Tenzi za rohoni 117 download audiomack, Tenzi za Rohoni songs mp3 Download, Tenzi za rohoni songs list, Kitabu cha Tenzi za Rohoni, Tenzi za Rohoni 117 download, Tenzi za Rohoni Swahili pdf, TENZI ZA ROHONI na nyimbo ZA KUABUDU.

TENZI ZA ROHONI SONGS MP3 DOWNLOAD

TENZI ZA ROHONI

  1. Mwokozi umeokoa………………download
  2. Twamsifu Mungu…………………
  3. Hata ndimi elfu…………………
  4. Jina la Yesu, salamu!……………
  5. Jina lake Yesu tamu………………
  6. Baba, Mwana, Roho………………
  7. Ni tabibu wa karibu………………download
  8. Taji mvikeni…………………
  9. Yesu kwetu ni rafiki…………………download
  10. Usinipite…………………download
  11. Nina haja nawe…………………download
  12. Ewe Roho wa Mbinguni…………….
  13. Tafuta daima utakatifu………………
  14. Yesu kwa imani…………………
  15. Cha kutumaini sina…………………download
  16. Kumtegemea Mwokozi…………………
  17. Namwandama Bwana…………………
  18. Akifa Yesu nikafa naye…………………
  19. Ndiyo dhamana, Yesu wangu…………
  20. Ninaye rafiki naye…………………
  21. Roho yangu hima…………………
  22. Kale nilitembea…………………download
  23. Ni salama rohoni mwangu……………download
  24. Mwokozi moyoni mwangu…………………
  25. Nimekombolewa na Yesu…………………download
  26. Yesu unipendaye…………………download
  27. Mungu ni pendo…………………download
  28. Anipenda ni kweli…………………
  29. Baba yetu aliye Mbinguni……………download
  30. Nilikuwa kondoo aliyepotea……………download
  31. Msingi imara…………………
  32. Yesu awakubali wakosa………………download
  33. Dhambi ikikulemea…………………
  34. Njoni! Wenye dhambi…………………
  35. Twende kwake…………………
  36. Anisikiaye aliye yote…………………
  37. Waitwa, mwovu, na Bwana…………………
  38. Twende kwa Yesu…………………
  39. Mwenye dhambi huna raha…………………
  40. Nasikia kuitwa…………………download
  41. Yesu aliniita, “Njoo”………………download
  42. Kivulini mwa Yesu…………………
  43. Yesu akwita…………………
  44. Kukawa na giza dunia yote
  45. Mtazame Huyo aliyeangikwa juu…………………
  46. Twae wangu uzima…………………
  47. Ni wako wewe…………………
  48. Naweka dhambi zangu…………………
  49. Nitwae hivi nilivyo…………………
  50. Yesu nakupenda, U mali yangu…………………
  51. Mungu twatoa shukrani…………………
  52. Yote namtolea Yesu…………………download
  53. Wewe umechoka sana…………………
  54. Yesu nataka kutakaswa sana…………………
  55. Nipe moyo wenye sifa…………………
  56. Ni sikukuu siku ile…………………download
  57. Naendea msalaba…………………
  58. Mwamba mwenye imara……………download
  59. Peleleza ndani yangu…………………
  60. Waponyeni watu…………………
  61. Tumesikia mbiu…………………download
  62. Bwana wa mabwana…………………
  63. Ndugu wa kirohoni…………………
  64. Ujaribiwapo, sifanye dhambi…………………
  65. Safari…………………download
  66. Po pote mashamba yajaa……………
  67. Bwana uliyewaita…………………download
  68. Mungu msaada wetu…………………
  69. Twendeni askari…………………download
  70. Yesu atuchunga…………………
  71. Mteteeni Yesu…………………download
  72. Twendeni! Haraka!…………………
  73. Yesu zamani Bethilehemu………download
  74. Wachunga walipolinda…………………
  75. Waimba, sikizeni…………………
  76. Njoni, enyi wa imani…………………
  77. Msalabani pa Mwokozi……………donwload
  78. Sioshwi dhambi zangu……………download
  79. Msalaba wa aibu…………………
  80. Wamwendea Yesu kwa kusafiwa……download
  81. Chini ya msalaba…………………
  82. Sioni haya kwa Bwana……………donwload
  83. Kwa wingi wa nyama………………
  84. Niwonapo mti bora…………………
  85. Ni mtu wa simanzi…………………
  86. Damu imebubujika…………………
  87. Deni ya dhambi ilimalizika…………………
  88. Ndiyo damu ya Baraka……………download
  89. Kwa Kalvari…………………download
  90. Aliteswa, aliteswa…………………
  91. Mapenzi yako yafanyike, Bwana…………………
  92. Nataka nimjue Yesu…………………download
  93. Bwana amefufuka…………………
  94. Siku ya mbingu kujawa na sifa…………………
  95. Hivi vita vimekoma…………………
  96. Mle kaburini, Yesu mwokozi…………………
  97. Tazameni huyo ndiye…………………
  98. Huyo ndiye anashuka…………………download
  99. Maelfu na maelfu…………………
  100. Tumrudie Bwana…………………
  101. Twonane milele…………………download
  1. Kazi yangu ikiisha…………………
  2. Kaa name…………………download
  3. Twasoma ni njema sana…………………
  4. Kuwatafuta…………………
  5. Mungu awe nanyi daima…………………
  6. Ewe Baba wa Mbinguni…………………
  7. Twenenda sayuni…………………
  8. Nitaimba ya Yesu…………………
  9. Mapya ni mapenzi hayo…………………
  10. Neno lako Bwana…………………
  11. Nilikupa wewe maisha yangu…………………
  12. Ni mfalme wa mapenzi…………………
  13. Bwana Mungu, nashangaa kabisa……download
  14. Kilima kando ya Mji…………………
  15. Bwana , U sehemu yangu………………download
  16. Tufani inapovuma…………………download
  17. Ni ujumbe wa Bwana………………download
  18. Si damu ya nyama…………………
  19. Enyi wanadamu…………………
  20. Liko lango moja wazi……………download
  21. Bwana Yesu…………………download
  22. Nimeketi mimi nili kipofu…………………
  23. Mungu ulisema…………………
  24. Ati twonane Mtoni?…………………
  25. Ni mji mzuri…………………
  26. Bwana Yesu atakuja…………………
  27. Mmoja apita wote…………………
  28. Karibu na wewe…………………download
  29. Niongoze, Bwana Mungu…………………
  30. Piga sana vita vyema…………………
  31. Sauti sikilizeni…………………
  32. Ni wako Mungu…………………
  33. Juu yake langu shaka………………download
  34. Mapenzi ya milele…………………
  35. Msifuni, Yesu ndiye mkombozi…………
  36. Yesu mponya…………………............
  37. Tukutendereza Yesu (Luganda)………

Post a Comment

Previous Post Next Post

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA